Skip to main content

Service Charter

Correctional Service

Service Charter

S.No Our Services Your Obligation Charges Timeline
1 Enquiries Voluntary visit, telephone call or email Nil 5 minutes
2 Response  to correspondence Written correspondence Nil 5 working days
3 Acknowledgement of correspondence Written correspondence Nil 3 working days
4 Recruitment of prison officers Pre-requisite academic and professional certifi- cates, National identity card, certificate of good conduct and birth certificate. Nil 1 day as advertised at the recruitment point
5 Visit to inmates: a) Convicted b) Un-convicted Voluntary visit, production of National identity card/passport during visiting hours. Nil 10 minutes for convicted 15 minutes for Un-convicted
6 Social inquiry reports to courts and other penal institutions a) Courts orders b) Requests from other penal institutions Nil Within 14 workings day for request from courts Within 30 working days for request from board
7 Supervision of non- custodial offenders Orders from courts and other penal organs Nil As per court order and release license
8 Issuance of AIEs a) Preparation from departments Nil 7 working days
b) Authorization by finance department Nil 3 working days
c) Payment of AIE by accounts office Nil 5 working days
9 Processing of orders and contracts a) Departmental tender evaluation committee Nil 30 working days
b) LPO/LSO delivery note, claim invoice S13 and other supporting documents Nil 7 working days
10 Payment for goods delivered, services rendered and works done a) Processing of payments Nil 5 working days
b) Internet Banking Transmission process Nil 2 working days
11 Provision of legal services Formal report of legal matter(s) Nil Within 24 hours
12 Information during Job vacancy Advertisement. Application and submission of requisite academic & professional certificates Nil Within advertisement period of 21 working  days

To enable us improve on quality of our service delivery, any correspondences/complaints and enquiries may be directed to the following contacts: The Principal Secretary, State Department for Correctional Service, Telposta Towers, 28th Floor, Kenyatta Avenue, Wing C – Entrance,  P.O. Box 30478 – 00100 Nairobi.

                                                                           Our Contacts

The Principal Secretary

State Department for Correctional Services

Telposta Towers, 28th Floor,

Kenyatta Avenue, Wing C – Entrance

P.O. BOX 30478 – 00100

NAIROBI

Telephone: +254- 020- 2228411

Email: ps@correctional.go.ke      info@correctional.go.ke

@correctionalKE

@prisonsKE

@probationKE

 

The Cabinet Secretary

Ministry of Interior & National Administration

Harambee House, 6th Floor, Harambee Avenue

P.O. BOX 30510 – 00100

NAIROBI

Telephone: +254- 020- 2227411

Email:cs@interior.go.ke    info@interior.go.ke

@interiorKE

 

The Chief Executive Officer

Commission on Administrative of Justice

2nd Floor, West End Towers

Opposite Aga Khan High School

off Waiyaki Way – Westlands

P.O. Box 20414 – 00200

NAIROBI.

Tel: +254-20-270000/2303000/2603765/ 2409574/0777 125818 /0800221349 (Toll free)

Email:info@ombudsman.go.ke

 

Viwango Vyetu vya Huduma

Nambari Huduma Zetu Wajibu wako Malipo Muda
1 Maswali Kutembelea ofisi zetu, kupiga simu au kutuma baruapepe Bure Dakika 5
2 Kujibu mawasiliano Kutuma mawasiliano ya maandishi Bure Siku 5 za kazi
3 Kukiri kupokea mawasiliano Kutuma mawasiliano ya maandishi Bure Siku 3 za kazi
4 Kuajiri maafisa wa magereza Vyeti vya kielimu na kitaaluma, kitambulisho cha kitaifa, cheti cha mwenendo mwema na cheti cha kuzaliwa Bure Siku 1 jinsi ilivyotangazwa katika hatua za kuajiri
5 Kuwatembelea wafungwa: a) Wafungwa waliohukumiwa tayari b) Wafungwa wanaosubiri hukumu Kutembelea ofisi zetu, kuonyesha kitambulisho cha kitaifa au pasipoti wakati wa ziara Bure a) Dakika 10 kwa wafungwa waliohukumi- wa tayari b) Dakika 15 kwa wafungwa wanaosubiri hukumu
6 Ripoti za uchunguzi wa kijamii kwa mahakama na taasisi nyingine za marekebisho a) Amri ya mahakama b) Maombi kutoka kwa taasisi nyingine za marekebisho Bure a) Siku 14 kwa amri ya mahakama b) Siku 30 kwa maombi kutoka kwa taasisi nyingine za marekebisho
7 Usimamizi wa wahalifu wasio- fungwa gerezani Amri kutoka kwa mahakama na taasisi nyingine za marekebisho Bure Kulingana na amri ya mahakama na leseni ya kuachiliwa huru
8 Utoaji wa idhini ya kutumia fedha (AIEs) a) Maandalizi katika idara mbalimbali Bure Siku 7 za kazi
b) Kupata idhinisho kutoka kwa idara ya fedha Bure Siku 3 za kazi
c) Ofisi ya akaunti kutoa malipo ya AIE Bure Siku 5 za kazi
9 Kutayarisha maombi na kandarasi a) Kamati ya kutathmini zabuni katika idara Bure Siku 30 za kazi
b) Taarifa inayoonyesha uwasilishaji wa LPO/LSO, ankara ya S13 na stakabadhi nyingine saidizi Bure Siku 7 za kazi
10 Kulipia bidhaa zilizowasilishwa, huduma zilizotolewa na kazi zilizofanywa a) Kutayarisha mchakato wa malipo Bure Siku 5 za kazi
b) Kutekeleza mchakato wa shughuli za benki kupitia kwa mtandao Bure Siku 2 za kazi
11 Utoaji wa huduma za kisheria Kutoa ripoti rasmi ya suala au masuala ya kisheria Bure Ndani ya saa 24
12 Taarifa kuhusu matangazo ya nafasi za kazi Kutuma maombi na kuwasilisha vyeti vya kielimu na kitaaluma Bure Ndani ya muda wa matangazo wa siku 21 za kazi

Ili kutusaidia kuboresha utoaji wa huduma, mawasiliano/malalamishi na maswali yanaweza kutumwa kwa anwani hii: Katibu Mkuu, Idara ya Huduma za Marekebisho, Jumba la Telposta, Ghorofa ya 28, Mrengo wa C – Kwenye Kiingilio, Barabara ya Kenyatta, S.L.P. 30478 – 00100 Nairobi. Anwani Zetu

Katibu Mkuu,
Idara ya Huduma za Marekebisho,
Jumba la Telposta, Ghorofa ya 28, Mrengo wa C – Kwenye Kiingilio, Barabara ya Kenyatta, S.L.P. 30478 – 00100, NAIROBI.
Simu: +254-020-2228411
Baruapepe: ps@correctional.go.ke 
info@correctional.go.ke
@correctionalKE
@prisonsKE
@probationKE
Waziri,
Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Kitaifa, Jumba la Harambee, Ghorofa ya 6, Barabara ya Harambee, S.L.P. 30510 – 00100, NAIROBI.
Simu: +254-020-2227411
Baruapepe: cs@interior.go.ke 
info@interior.go.ke
@interiorKE
Afisa Mkuu Mtendaji, Tume ya Utoaji wa Haki,
Jumba la West End, Ghorofa ya 2, Mkabala wa Shule ya Upili ya Aga Khan, Barabara ya Waiyaki – Westlands,
S.L.P. 20414 – 00200, NAIROBI.
Simu: +254-20-270000 / 2303000 / 2603765 / 2409574 / 0777125818 / 0800221349 (Bila malipo) Baruapepe: info@ombudsman.go.ke